by tff admin | Jan 16, 2024 | News
Taifa stars kuanza na Morocco AFCON 2024 Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kesho Januari 17, 2024 itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) dhidi ya Morocco katika uwanja wa Stade Laurent Pokou, Ivory Coast. Mchezo huo...
by tff admin | Jan 16, 2024 | News, Women's Premier League
Raundi ya Tano TWPL Yazidi Kupamba Moto Ligi kuu ya wanawake Tanzania TWPL 2023/2024, joto limezidi kupanda baada ya mechi za raundi ya tano kumalizika kwa matokeo yanayodhihirisha ubora na kila timu kukiimarisha katika kila maeneo hasa nna ya kuwakabili wapinzani kwa...
by tff admin | Jan 3, 2024 | News, Women's Premier League
JKT Queens Kileleni Raundi ya Tatu TWPL Mechi za raundi ya tatu Ligi kuu ya Wanawake zimemalizika Januari 3, 2024 kwa kupigwa mechi tano zote huku JKT Queens ikiwa ndio timu iliyomaliza raundi hiyo kileleni baada ya ushindi wa magoli meng zaidi. JKT Queens ilipata...
by tff admin | Dec 28, 2023 | News, Women's Premier League
Raundi ya Pili TWPL Imemalizika Michezo mitano ya ligi kuu Tanzania imepigwa kati ya Disemba 27 na 28, 2023 na kukamilisha raundi ya pili msimu huu, huku timu ya Simba Queens ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa faida ya utofauti wa magoli. Matokeo ya ushindi wa...
by tff admin | Dec 10, 2023 | News, Women's Premier League
JKT Queens, Simba Queens Fainali Ngao ya Jamii Michezo miwili ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kwa wanawake Imemalizika kwa timu ya JKT Queens na Simba Queens kufuzu hatua ya fainali baada ya ushindi waliopata kwenye hatua ya nusu fainali. Michezo hiyo miwili...
by tff admin | Dec 10, 2023 | Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, News, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Waziri Ndumbaro Amesisitiza Hamasa Timu za Taifa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mh. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa watanzania wote kuunganan na Serikali pamoja na TFF katika kuzisapoti timu za Taifa hasa zile zilizo fuzu kushiriki michuano ya Afrika (AFCON na...