by tff admin | Dec 10, 2023 | News
Mkutano Mkuu wa 10 wa bodi ya Ligi Kuu Tanzania umefanyika Disemba 8, 2023 kwenye ukumbi wa mikutano wa bodi hiyo na Mgeni Rasmi akiwa ni Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo nchini Mh. Damas Ndumbaro. Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa soka akiwepo...
by tff admin | Dec 6, 2023 | News, Twiga Stars
Twiga Stars yafuzu WAFCON 2024 Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ imefanikiwa kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa wanawake (WAFCON) zitakazofanyika mwakani nchini Morocco baada ya kupata ushindi wa jumla ya magoli 3-2 dhidi ya timu...
by tff admin | Nov 21, 2023 | News
Kocha Shime: Tumejifunza mengi, tutajipanga wakati mwingine Kocha mkuu wa timu ya wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ Bakari Shime amesema licha ya kupoteza katika mchezo wa marudiano wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Nigeria wamejifunza na...
by tff admin | Nov 19, 2023 | News
Kaimu Balozi Nagunwa: Tushinde tuliheshimishe Taifa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Bi Judica Nagunwa amewataka wachezaji wa timu ya Taifa ya wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ kupambana kufa kupona katika mchezo wa mkondo wa pili wa...
by tff admin | Nov 18, 2023 | News
Kocha Shime: wachezaji wako tayari kuikabili Nigeria Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ Bakari Shime amesema kikosi chake kipo tayari kuikabili timu ya Nigeria katika mchezo wa mkondo wa pili wa kufuzu Kombe la...
by tff admin | Nov 16, 2023 | Beach Soccer, News
Makocha Soka la Ufukweni Kunolewa kwa Siku Tano TFF Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF linaendesha kozi ya siku tano maalumu kwa makocha wa mpira wa miguu soka la ufukweni inayojumuisha makocha mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea maarifa yatakayo pelekea...