by tff admin | Aug 19, 2024 | Beach Soccer, News
Timu ya Soka la ufukweni yashiriki mashindano ya Casablanca Cup, Morocco Timu ya Taifa ya Soka la ufukweni imeshiriki mashindano ya Casablanca Cup yaliyofanyika nchini Morocco katika mji wa Casablanca. Timu hiyo ilipata nafasi ya kucheza michezo mitatu ya kimataifa...
by tff admin | Mar 20, 2024 | Beach Soccer, News
Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni Kujipanga Kwa BAFCON Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni iliyokuwa ikishiriki mashindano ya COSAFA Durban Afrika Kusini imehamishia nguvu na akili kwenye mashindano ya BAFCON. Timu hiyo ya Taifa ilicheza na kupoteza mechi zake zote za...
by tff admin | Mar 19, 2024 | Beach Soccer, News
Pawasa: “Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni Nafasi Bado Ipo” Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni Boniface Pawasa na wachezaji wa timu ya hiyo kwa pamoja wamesema kuwa Tanzania bado inanafasi ya kusonga mbele katika michuano COSAFA inayoendelea...
by tff admin | Nov 16, 2023 | Beach Soccer, News
Makocha Soka la Ufukweni Kunolewa kwa Siku Tano TFF Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF linaendesha kozi ya siku tano maalumu kwa makocha wa mpira wa miguu soka la ufukweni inayojumuisha makocha mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea maarifa yatakayo pelekea...
by tff admin | Aug 16, 2023 | Beach Soccer, News
Bashley Express Air cargo mdhamini mpya ligi kuu ya soka la ufukweni Kampuni ya usafirishaji wa mizigo Bashley Express Air cargo imekuwa kampuni ya kwanza kutoa udhamini kwa ligi kuu ya soka la ufukweni tangu ilipoanza kuchezwa mwaka 2016. Udhamini huo utadumu kwa...
by tff admin | Aug 6, 2023 | Beach Soccer, News
Kamati ya Olimpiki Tanzania Imefunguwa Mafunzo kwa Wadau wa Michezo Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) imefunguwa mafunzo ya juu ya usimamizi wa michezo kwa wadau mbalimbali wa michezo Tanzania yatakayo jumuisha washiriki 16. Mafunzo hayo yanayotarajia kuanza rasmi...