Timu ya Taifa ya Beach Soccer yaanza kujinoa

Timu ya Taifa ya Beach Soccer yaanza kujinoa

Timu ya Taifa ya “Beach Soccer” yaanza kujinoa tayari kuikabili Burundi Kikosi cha timu ya Taifa ya soka la ufukweni (Beach Soccer) kinachonolewa na kocha mkuu Boniphace Pawasa kimeingia kambini leo hii machi 8, 2021 na tayari kimeanza mazoezi katika fukwe za Coco...
Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi kampuni ya Group Six International eneo la ujenzi hii leo 29 Septemba, 2020...
Fainali COPA Dar es Salaam

Fainali COPA Dar es Salaam

Leo ni siku ya fainali ya michuano ya COPA DAR ES SALAAM iliyoanza Disemba 22 ambapo timu kutoka nchi 5 (Burundi, Malawi, Seychelles, Tanzania na Uganda) zimekuwa zikimenyana vikali katika viwanja vya COCO BEACH Oystabey  Kinondoni jijini Dar es Salaam. Michuano hiyo...
Uganda yapata point moja Beach Soccer

Uganda yapata point moja Beach Soccer

Uganda Yapata Pointi moja kwa Taabu Dhidi ya Wenyeji Tanzania Mechi kati ya timu ya Beach Soccer ya Tanzania na Uganda imekuwa ni ya upinzani mkali kufuatia kila timu kukataa kufungwa na mpinzani wake. Mechi hiyo imekuwa ni ya kusisimua kufuatia maandalizi bora...