by tff admin | Jun 16, 2019 | Beach Soccer, News
Viwango vya Ubora vya Soka la Ufukweni vimetoka na Tanzania ipo nafasi ya 63 Duniani. Viwango hivyo vimezingatia matokeo ya Soka la Ufukweni kuanzia Juni 2015 mpaka Mei 2019. Tanzania imefanikiwa kujikusanyia jumla ya alama 163 katika wakati huo wote na kuwafanya...
by admin | Jan 4, 2019 | Beach Soccer
LIGI KUU ya soka la ufukweni Tanzania Bara (BSL) inatarajia kuanza Februari 9,2019 mpaka April 14,2019. Ligi hiyo itakua inachezwa kwenye Uwanja wa COCO BEACH uliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni. Kuelekea...
by admin | Dec 10, 2018 | Beach Soccer
TANZANIA imeendelea kufanya vibaya katika fainali za soka la ufukweni za Mataifa ya Afrika (BSAFCON) baada ya kufungwa mabao 12-2 na mabingwa watetezi Senegal katika mchezo uliochezwa Sharm El Sheikh, Misri jana. Huu ni mchezo wa pili ikicheza na kufungwa baada ya...
by admin | Nov 21, 2018 | Beach Soccer
Dar es Salaam.Mashindano ya Soka la ufukweni yanatarajia kuanza kutimua vumbi kesho nchini, kwa kuzikutanisha timu za Tanzania, Uganda, Malawi na Seychelles mashindano hayo yatafanyika uwanja wa Coco Beach na hakuna kiingilio chochote. Kocha wa timu ya Taifa ya...
by admin | Sep 5, 2018 | Beach Soccer
Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ya Tanzania imefuzu kucheza Fainali za Africa zitakazofanyika nchini Misri. Timu ya Tanzania imefuzu kucheza Fainali hizo baada ya mpinzani wake Afrika Kusini kuwasilisha barua ya kujiondoa katika mashindano. Shirikisho la Mpira wa...
by admin | Aug 15, 2018 | Beach Soccer
Dar es Salaam. Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni, inatarajiwa kuingia kambini Ijumaa hii kujiandaa kwa michuano ya kufuzu kwa fainali za Afrika. Hayo yalibainishwa jana na Meneja wa timu hiyo Deo Lucas, alipozungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam...