by tff admin | Feb 19, 2024 | Coaching, Grassroots-For Kids, News
TFF Yagawa mipira Elfu moja kwa mikoa ya Tanzania Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limegawa mipira Elfu moja kwa mikoa yote ya Tanzania kwa ajili ya mradi maalum wa ‘Football For Schools’ unaofadhiliwa na Shirikisho la mpira wa miguu duniani ‘FIFA’. Lengo...
by tff admin | Mar 24, 2023 | Coaching, News
Kozi ya Maboresho (Refresher Course) ya CAF A diploma yahitimishwa Mnyanjani,Tanga Kozi ya Maboresho (refresher course) ngazi ya CAF A diploma imehitimishwa rasmi Leo na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kituo cha ufundi cha TFF...
by tff admin | Mar 24, 2023 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa tuzo kwa wanamichezo Bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lengo la tuzo hizo ni kutambua na kuthamini mchango wa wanamichezo wanaofanya...
by tff admin | Dec 5, 2022 | Coaching, News
Geita Gold Yabanwa Mbavu Jiooni Ikiwa Uwanja wa Nyumbani Mchezo uliopigwa Disemba 04, 2022 majira ya saa 10:00 kwenye dimba la Geita, kati ya wenyeji Geita Gold na Mtibwa Sugar ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu kwa kufungana bao 2-2. Katika mchezo huo timu...
by tff admin | Dec 2, 2022 | Coaching, News
Kozi ya CAF C Diploma yaendelea TFF Moduli ya tatu ya kozi ya ualimu wa mpira wa miguu CAF C diploma inaendelea makao makuu ya TFF Ilala, Dar es salaam ikijumuisha washiriki 45 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania. Kozi hiyo ya nadharia na vitendo chini ya mkufunzi...
by tff admin | Nov 27, 2022 | Coaching, Grassroots-For Kids, News
SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya ufundi limeandaa Tamasha la michezola (Grass Roots) kwa Wanafunzi wa Shule za msingi na Sekondari. Tamasha hilo ambalo nilapili limefanyi limefanyika jana wilaya ya Temeke katika Uwanja wa Uhuru Jijini...