by tff admin | Aug 9, 2022 | Coaching, News
Timu Bora ni Golikipa; Mohammed Tajdin Katibu wa Chama cha Makocha wa Mpira wa miguu Tanzania (TAFCA) Mohammed Tajdin amewataka wahitimu wa kozi ya ukocha wa magolikipa kwenda kuwapika magolikipa bora walio kwenye viwango vya kwenye ligi yetu inayozidi kukuwa na hata...
by tff admin | Jul 29, 2022 | Coaching, News
CAF C Diploma Imefunguliwa Makao Makuu TFF Kozi ya walimu wa mpira wa miguu ngazi ya CAF C Diploma inayojumuisha washiriki 45 imefunguliwa na Makamu wa kwanza wa Rais TFF Athumani Nyamlani Julai 29, 2022 makao makuu ya Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania TFF....
by tff admin | Jul 13, 2022 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India Oktoba, 2022 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemmwagia sifa Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kwa kufanikisha kuipeleka Kombe la Dunia timu ya wasichana wenye umri...
by tff admin | Jun 7, 2022 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia Timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Girls rasmi imeweza kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wao dhidi ya Cameroon Juni 05,...
by tff admin | Jan 29, 2022 | Coaching, News
Issa Bukuku Aibariki Kozi ya Ukocha CAF Diploma D Kozi ya ukocha ya CAF Diploma D inayojumuisha washiriki 52 imefunguliwa ramsi na kubarikiwa na mwenyekiti wa kamati ya ufundi ambaye pia ni mjumbe wa kamati tendaji TFF Issa Mrisho Bukuku Januari 28, 2022. Kozi hiyo ya...
by tff admin | Jan 4, 2022 | Coaching, News
Mkatusaidie Kuzalisha Vijana Wengi Zaidi Kwenye Mpira Agizo hilo limetolewa Januari 04, 2022 na Makamu wa Kwanza wa Rais TFF Athumani Nyamlani alipokuwa akiwakabidhi vyeti washiriki wapatao 51 waliohitimu kozi ya CAF D Diploma iliyo fanyika makao makuu ya Shirikisho...