by tff admin | Mar 10, 2021 | Kilimanjaro Queens, News, The Tanzanite, Twiga Stars
Timu za Taifa za Wanawake Kuingia Kambini Rasmi Kujifua Tayari kwa Michuano Mbalimbali ya Kimataifa. Kocha Mkuu wa Timu za Taifa za Wanawake Bakari Shime hivi karibuni alitaja wachezaji watakaounda vikosi vya timu zinazowakilisha Taifa kwa ajili ya kuanza kambi na...
by tff admin | Nov 20, 2020 | Kilimanjaro Queens, News
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia amewapongeza wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya miaka 17 kwa kutwaa ubingwa wa COSAFA baada ya kuwaondosha Zambia kwa penati 4-3 katika mchezo wa fanali...
by tff admin | Sep 29, 2020 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi kampuni ya Group Six International eneo la ujenzi hii leo 29 Septemba, 2020...
by tff admin | Mar 13, 2020 | Kilimanjaro Queens, News, Uncategorized
Timu ya Taifa ya Wasichana U17 wakiondoka kuelekea Kampala kwa mchezo wa marudiano kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Uganda U17 utakaochezwa Jumamosi Machi 14,2020,Wachezaji na Viongozi wanaondoka huku wakichukua tahadhari ya Virusi vya ugonjwa wa Corona
by tff admin | Nov 13, 2019 | Kilimanjaro Queens, News
Timu mbalimbali zimeanza kuwasili Tanzania kuelekea kwenye mashindano ya Cecafa kwa Wanawake yatakayoanza Novemba 16-25,2019 Dar es Salaam. Tayari timu za Burundi na Djibout zimetua jana Jumanne na kuelekea kwenye Hoteli zilizopangiwa. Leo timu za Kenya na Ethiopia...
by tff admin | Oct 24, 2019 | Kilimanjaro Queens, News
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara “Kilimanjaro Queens” imepangwa katika Kundi A kwenye ratiba ya mashindano ya Wanawake ya CECAFA iliyotolewa leo. Katika kundi A mbali ya Tanzania Bara timu nyingine zilizopo ni Zanzibar,Burundi na Sudan Kusini. Kundi B lina...