by tff admin | Dec 6, 2019 | Kilimanjaro Stars, News
Timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ leo itafanya mazoezi ya kwanza tokea imewasili jijini Kampala ikiwa ni muendelezo wa maandalizi yake kwa mashindano ya Cecafa Chalenji yanayoanza kesho Disemba 7. Mazoezi hayo ya Stars yatafanyika saa 10 Jioni...
by tff admin | Jun 12, 2019 | Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, News, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limezindua jezi mpya ya timu za Taifa zitakazotumika nyumbani na ugenini. Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars Paul Makonda. Jezi...
by tff admin | May 31, 2019 | Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, News, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kampuni ya Romario Sports 2010 LTD wamesaini Mkataba wa miaka mitatu kuzivalisha Timu zote za Taifa. Kampuni ya Romario itakuwa inazivalisha Timu zote za Taifa kwa kipindi chote cha Mkataba huo. Rais wa TFF Wallace Karia...