by tff admin | Oct 11, 2019 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 7, 2019 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao; Viwanja: Kamati imezuia baadhi ya viwanja kutumika kwa mechi za Ligi Kuu ya...
by tff admin | Jun 30, 2019 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kufunguliwa kwa Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu,Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili kwa msimu wa 2019/2020. Dirisha litafungwa Julai 31,2019 na hakutakua na muda wa ziada. Usajili wa mashindano...
by tff admin | Apr 23, 2019 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, News
UAMUZI KAMATI YA UENDESHAJI LIGI Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Aprili 18, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao; Mechi namba 311- Ndanda 1 vs Yanga 1. Klabu ya Yanga imetozwa...
by admin | Feb 9, 2019 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepata taarifa za Tukio la rushwa ya upangaji matokeo katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza(FDL) kati ya Rhino Rangers ya Tabora na Dodoma FC ya Dodoma. TFF inaendelea kufuatilia kwa karibu,itawasiliana na Mamlaka...

by admin | Dec 11, 2018 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara
Dirisha Dogo la Usajili kwa Klabu za Ligi Kuu,Daraja la Kwanza na Daraja la Pili linafungwa Disemba 15, 2018 saa 5:59 usiku Klabu zinakumbushwa kutuma orodha ya wachezaji waliowaongeza katika dirisha dogo. Wakati wa dirisha dogo klabu inaruhusiwa kuongeza idadi ya...