by tff admin | Apr 15, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
VPL KUENDELEA KESHO,MICHEZO MIWILI KUPIGWA Ligi kuu ya Vodacom Tanzania VPL inaendelea kesho kwa michezo miwili kuchezwa kwenye Viwanja tofauti. Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam KMC FC wanawakaribisha Gwambina kutoka Mwanza. Kocha wa KMC Habib Kondo, amesema mchezo...
by tff admin | Apr 15, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
SIMBA YAREJEA KWA KISHINDO VPL, YAIPIGA MTIBWA 5 Timu ya Simba ya Dar es salaam imerejea kwa kishindo kunako Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania VPL ikiibuka na ushindi wa mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Simba walianza kuandika bao lao la kwanza kupitia kwa...
by tff admin | Mar 12, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Azam yaibuka na ushindi mnono dhidi ya Ihefu Timu ya Azam FC imefanikiwa kupunguza pengo la alama tisa kutoka kwa vinara wa ligi kuu; Young Africans na kubakiza alama sita pekee baada ya kupata ushindi kwenye Mchezo uliopigwa majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa...
by tff admin | Mar 12, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba yalazimwishwa sare kwa Mkapa Mchezo uliopigwa katika Dimba la Mkapa majira ya saa moja usiku umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya mtanange huo kutamatika kwa sare ya kufungana bao 1-1. Mchezo huo ulioanza taratibu huku timu zote zikishambulia kwa...
by tff admin | Mar 8, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Young Africans na Polisi Tanzania Hakuna Mbabe Amri Abeid Arusha Mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans wameshindwa kuvuna alama tatu katika mchezo uliochezwa kati yao na timu ya Polisi Tanzania ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao1-1. Mchezo huo...
by tff admin | Oct 5, 2020 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Yanga Yaendelea Kuvuna Pointi Yapiga Coastal Union kwa Mkapa Mchezo kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga umemalizika kwa timu ya Wanajangwani kuibuka na ushindi mnono wa bao 3-0; na kuwafanya Wagosi wa Kaya kutoka uwanjani wakiwa vichwa chini. Mtanange huo...