Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi kampuni ya Group Six International eneo la ujenzi hii leo 29 Septemba, 2020...
Yanga Yaitoa Azam Nafasi ya Pili

Yanga Yaitoa Azam Nafasi ya Pili

Timu ya Wananchi (Yanga) Watakata na Kuwapoza Mashabiki, Yaitoa Azam Nafasi ya Pili Mchezo kati ya Yanga na Singinda United Ulipigwa Leo 15 Julai 2020 na Yanga kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa bao 3-1 kisha kurejesha furaha Jangwani hasa baada ya kuiondoa Azam...