by tff admin | Mar 13, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Machi 10, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao; Ligi Kuu ya Vodacom: Mechi namba 253: Mwadui FC 2 v Police Tanzania FC 1...
by tff admin | Mar 5, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Machi 3, 2020 ilipitia taarifa mbalimbali za mechi ya Ligi Kuu Vodacom (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) zinazoendelea hivi sasa. LIGI KUU Mechi namba 247- Mtibwa Sugar FC 2...
by tff admin | Feb 6, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, News, Referees
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Release 003/2020 Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Februari 03, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao; Ligi Kuu ya Vodacom: Mechi...
by tff admin | Jan 10, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News, Women's Premier League
Upangaji wa ratiba ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa 4 umefanyika leo ikishirikisha timu 64. Droo hiyo ya upangaji ratiba imehusisha timu za Ligi Kuu ya Vodacom(VPL),Daraja la Kwanza(FDL),Daraja la Pili (SDL) na Bingwa wa mkoa. Ratiba...
by tff admin | Jan 1, 2020 | Coaching, Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mwamuzi Jonesia Rukyaa kutoka Kagera atachezesha mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaowakutanisha Watani Simba na Young Africans utakaochezwa Jumamosi Januari 4 Uwanja wa Taifa. Rukyaa atasaidiwa na Sudi Lilla na Hamis Chang’walu wote kutoka Dar es Salaam....
by tff admin | Dec 12, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
MCHEZAJI wa timu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20, huku Aristica Cioaba wa Azam FC akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Waziri na Cioaba walitwaa tuzo hiyo baada ya...