by tff admin | Dec 12, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
MCHEZAJI wa timu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20, huku Aristica Cioaba wa Azam FC akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Waziri na Cioaba walitwaa tuzo hiyo baada ya...
by tff admin | Nov 5, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
MCHEZAJI wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, Jafari Kibaya amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20, huku Zuberi Katwila pia wa Mtibwa Sugar akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kibaya na Katwila walitwaa tuzo...
by tff admin | Oct 11, 2019 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 7, 2019 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao; Viwanja: Kamati imezuia baadhi ya viwanja kutumika kwa mechi za Ligi Kuu ya...
by tff admin | Oct 4, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Miraji Athumani amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20, huku Patrick Aussems pia wa Simba akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Miraji na Aussems...
by tff admin | Sep 13, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba SC ilikuwa Uwanja wa Uhuru kuwakaribisha Mtibwa Sugar na huko Mkwakwani Coastal Union waliwakaribisha KMC. Kwenye Uwanja wa Uhuru Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwa mabao ya Meddie Kagere na Miraji Athuman wakati lile la Mtibwa...
by tff admin | Sep 10, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20, huku Salum Mayanga wa timu ya Ruvu Shooting akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kagere na Mayanga walitwaa tuzo hiyo baada ya...