by tff admin | Sep 4, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania na benki ya KCB. Mkataba huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 495,600,000 + VAT, umesainiwa leo mchana baada ya pande mbili kukubaliana. Udhamini huu...
by tff admin | Sep 3, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Septemba 2, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020 iliyoanza rasmi Agosti 24, 2019 na kufanya uamuzi ufuatao; Mechi namba 9- Yanga 0 vs Ruvu...
by tff admin | Aug 28, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Kikosi cha Yanga kimeanza vibaya katika Ligi Kuu Bara (Vodacom Premier League) baada ya kukubali kufungwa bao 0-1 dhidi ya Ruvu Shooting. Dakika 20 Ruvu Shooting ilipata goli la kwanza kupitia kwa Sadat Mohamed baada ya beki wa Yanga, Kelvin Yondani kushindwa...
by tff admin | Aug 27, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajia kuendelea leo kwa mchezo mmoja kuchezwa Uwanja wa Uhuru. Timu ya KMC watakuwa wenyeji wa timu ya Azam FC katika mchezo huo wa raundi ya Kwanza. Mchezo huo utaanza saa 10 jioni. Baada ya mchezo wa leo,mchezo mwingine wa VPL...
by tff admin | Aug 24, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) msimu wa 2019/2020 limefunguliwa rasmi leo kwa michezo mitano kuchezwa kwenye Viwanja tofauti. Namungo FC wameanza kibarua cha mchezo wao wa Kwanza wa Ligi Kuu wakipata ushindi wa nyumbani wa mabao 2-1 dhidi ya Ndanda kwenye...
by tff admin | Aug 24, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/2020 linafunguliwa rasmi leo kwa michezo mitano kuchezwa kwenye Viwanja tofauti. Namungo FC wataanza kibarua cha mchezo wao wa Kwanza wa Ligi Kuu wakiwa nyumbani Uwanja wa Majaliwa kuwakaribisha...