by tff admin | Aug 23, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom wamesaini Mkataba wa miaka 3 wa Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mkataba huo unathamani ya shilingi bilioni 9 ambapo kila mwaka shilingi bilioni 3. Ligi Kuu ya Tanzania Bara...
by tff admin | Aug 1, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura ametangaza makundi ya Ligi Daraja la Kwanza msimu wa 2019/2020. Makundi hayo yanajumuisha timu 24 zilizogawanywa katika Makundi mawili ya timu 12 kila moja. Kundi A • African Lyon,Dar es salaam • Ashanti United,Dar...
by tff admin | Jun 30, 2019 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kufunguliwa kwa Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu,Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili kwa msimu wa 2019/2020. Dirisha litafungwa Julai 31,2019 na hakutakua na muda wa ziada. Usajili wa mashindano...
by tff admin | Jun 7, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Meddie Kagere, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Kagere ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Bigirimana Blaise wa Alliance FC ya Mwanza na...
by tff admin | Jun 4, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha Tanzania kuwa na timu 4 katika mashindano ya Kimataifa kwa msimu wa 2019/2020. Timu 2 zitashiriki katika Ligi ya Mabingwa na timu 2 nyingine zitashiriki Kombe la Shirikisho. Nafasi hiyo kwa Tanzania imekuja...
by tff admin | Jun 2, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mechi za play off kati ya Pamba SC na Kagera Sugar FC, na Geita Gold FC na Mwadui FC zilizokuwa zichezwe leo ( Juni 2) zimesogezwa mbele hadi kesho ( Juni 3 ) kutokana na sababu za kiusalama. Mechi zote, zikiwemo za marudiano zitakazochezwa Juni 8 zitaoneshwa moja kwa...