by tff admin | May 29, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa Klabu ya Simba kwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Infantino ametuma salamu hizo za pongezi kupitia kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
by tff admin | May 29, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura amefafanua kuhusu timu zilizoshuka Daraja baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Wambura amesema timu ya African Lyon na Stand United zimeshuka Daraja kwenda Daraja la Kwanza wakati Kagera Sugar...
by tff admin | May 27, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) wametoa tahadhari kuelekea mechi za mwisho wa msimu Ligi Kuu Tanzania Bara zinazochezwa kesho kwenye Viwanja tofauti. TFF na TPLB zimepeleka watu katika michezo hiyo na hatua kali zitachukuliwa kwa wote...
by tff admin | May 8, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, John Bocco, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Bocco ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Emmanuel Okwi wa Simba na Heritier Makambo wa...
by tff admin | May 6, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewapongeza Viongozi wapya wapya wa Klabu ya Young Africans kwa kuchaguliwa kuiongoza klabu hiyo kwa kipindi cha miaka minne (4). Rais wa TFF Ndugu Karia amesema TFF itashirikiana na Viongozi hao...
by tff admin | Apr 30, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania “TFF” limetangaza timu ya Simba ya Tanzania kucheza mchezo wa kirafiki wa Kimataifa na Sevilla ya Hispania Mei 23,2019 Uwanja wa Taifa. Klabu ya Simba imetajwa kucheza mchezo huo dhidi ya Sevilla kwa kigezo cha Klabu ya Tanzania...