by tff admin | Apr 23, 2019 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, News
UAMUZI KAMATI YA UENDESHAJI LIGI Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Aprili 18, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao; Mechi namba 311- Ndanda 1 vs Yanga 1. Klabu ya Yanga imetozwa...
by tff admin | Apr 4, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mshambuliaji wa timu ya Simba SC ya Dar es Salaam, John Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Bocco ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Donald Ngoma wa Azam FC na Jaffari Kibaya wa...
by admin | Mar 11, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana jana Jumapili Machi 10,2019 na kupitia mashauri mbalimbali yaliyofikishwa kwenye Kamati hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Wakili Kiomoni Kibamba. KUSIKILIZA MASHAURI: KESI NAMBA 01: SHAURI LA...
by admin | Mar 11, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara
Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Machi 7, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi pamoja na malalamiko yaliyowasilishwa mbele yake na kufanya uamuzi ufuatao; Mechi namba 244- Kagera Sugar 0 vs Mbeya City 1. Kocha wa...
by admin | Mar 11, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kesho Jumanne Machi 12,2019 litaendesha semina kwa Klabu za Ligi Kuu (TPL). Semina hiyo ya siku moja itafanyika Hoteli ya DEMAGE,Kinondoni. Makatibu wa Klabu 20 za Ligi Kuu watahudhuria semina hiyo itakayoanza saa 2...
by admin | Mar 6, 2019 | Ligi Kuu Tanzania Bara
MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Kagere raia wa Rwanda ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Salim Aiyee wa Mwadui na Salum Kimenya wa...