by admin | Jul 23, 2018 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linavikumbusha vilabu vya Ligi Kuu,Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili ambavyo havijafanya usajili kupitia mfumo wa usajili wa TFF FIFA Connect kufanya usajili wao. Vilabu ambavyo bado havijafanya usajili...
by admin | Jun 23, 2018 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara
Dirisha la Usajili kwa klabu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na Daraja la Pili msimu wa 2018/2019 limefunguliwa rasmi. Dirisha hilo limefunguliwa Juni 15,2018 na litafungwa July 26,2018 kwa kutumia mfumo mpya wa usajili(TFF FIFA CONNECT). Baada ya Dirisha kufungwa...
by admin | Mar 12, 2018 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000 Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266. VIP A waliingia...