BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa tuzo kwa wanamichezo Bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lengo la tuzo hizo ni kutambua na kuthamini mchango wa wanamichezo wanaofanya...
Ligi Kuu Bara Ni Zaidi ya Vita

Ligi Kuu Bara Ni Zaidi ya Vita

Ligi Kuu Bara Ni Zaidi ya Vita Michezo kadhaa ilipingwa wikiendi hii kati ya tarehe 18 na 19 Februari, 2023 ambapo timu zote tatu zilizokuwa nyumbani zilifanikiwa kuibuka na ushindi Idadi sawa ya magoli baada ya timu hizo kupachika bao moja moja. Michezo hiyo...
KMC Mbeya City Zatoshana Nguvu Uhuru

KMC Mbeya City Zatoshana Nguvu Uhuru

KMC Mbeya City Zatoshana Nguvu Uhuru Mchezo uliozikutanisha timu ya Manispaa ya Halmashauri ya Kinondoni (KMC) dhidi ya timu ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya (Mbeya City) ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1. Mchezo huo wa...