by tff admin | Dec 2, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Dodoma Jiji Yazinduka na Kuichapa Coastal Union Mkwakwani Tanga Timu ya Dodoma Jiji ilifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo uliochezwa Novemba 30, 2022 majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mkwakwani Tanga na kuicha Coastal Union katika tafakuri ya...
by tff admin | Nov 30, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ihefu Yaivurugia Hesabu Young Africans Timu ya Ihefu imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya vinara wa Ligi Kuu ya NBC Young Africans baada ya kuichapa timu hiyo ilipoialika kwenye uwanja wa nyumbani wa Highland Estates uliopo Mbalali Jijini Mbeya. Mechi...
by tff admin | Nov 30, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Kagera Mambo Safi, KMC Yabanwa Mbavu Nyumbani Michezo miwili ya Ligi Kuu ya NBC ilipigwa Novemba 28, 2022 kwenye viwanja viwili tofauti Dar es Salaam na Mwanza ambapo timu ya Kagera Sugar ilifanikiwa kuiadhibu Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 huku KMC wao wakishindwa kutamba...
by tff admin | Nov 30, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Azam FC Yapata Ushindi Jioni Nyumbani huku Simba Ikitakata Ugenini Timu ya Azam FC imefanikiwa kupata ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliopigwa Novemba 27, 2022 majira ya saa 1:00 usiku kwenye uwanja wake wa Azam Complex Chamazi nje kidogo ya...
by tff admin | Nov 27, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ligi Kuu ya NBC Yazidi Kusonga Huku Chungu Tamu Zikitawala Ligi Kuu ya Tanzania Bara ilieendelea Novemba 26, 2022 kwa michezo mitatu kupigwa kwenye viwanja tofauti tofauti ambapo timu ya Namungo ikiiburuza timu ya Dodoma Jiji bao moja kwa sifuri, Singida Big Stars...
by tff admin | Nov 27, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News, Referees
Semina ya waamuzi yahitimishwa TFF Makamu wa pili wa Rais wa TFF Steven Mnguto amehitimisha rasmi semina ya siku tano ya waamuzi wa FIFA na Elite leo Novemba 25, 2022 katika makao makuu ya TFF Ilala, Dar es salaam Semina hiyo imelenga kupitia na kurekebisha mapungufu...