by tff admin | Nov 23, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba Mbeya City Zatoshana Nguvu Sokoine Mchezo uliozikutanisha Mbeya City dhidi ya Simba SC ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya kutoka sare kwa kufungana bao 1-1. Mchezo huo uliopigwa Novemba 22, 2022 majira ya saa 10:00 jioni kwenye uwanja wa Sokoine...
by tff admin | Nov 22, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Young Africans Yaishusha Azam FC Kileleni Ligi Kuu Bara Timu ya Young Africans imefanikiwa kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC baada ya kuichapa mabao 2-0 timu ya Dodoma Jiji kwenye mchezo uliopigwa Novemba 22, 2022 majira ya saa 10:00 katika uwanja wa Liti uliopo...
by tff admin | Nov 18, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ligi Kuu ya NBC Hakuna Kulala Mechi kadhaa za Ligu Kuu Bara ziliendelea Novemba 17, 2022 ambapo kwa mara ya kwanza timu ya Young Africans ilifanikiwa kuiadhibu Singida Big Stars (SBS) kwa jumala ya mbao 4-1 kwenye mchezo uliopigwa majira ya saa 1:00 usiku kwa Mkapa....
by tff admin | Nov 18, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mtibwa Mambo Safi, Prisons Hoi Simba Namungo Rekodi Ile ile Michezo mitatu ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara iliendelea kurindima Novemba 16, 2022 katika viwanja vitatu tofauti na kumalizika kwa timu ya Mtibwa kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union ya...
by tff admin | Nov 16, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Azam Yakwea Kileleni, Dodoma Jiji Yavuna Ushindi Mbele ya KMC Ligi Kuu Bara iliendelea Novemba 15, 2022 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti ambapo mchezo wa saa 10:00 jioni uliwakutanisha KMC dhidi ya Dodoma Jiji kwenye uwanja wa Uhuru uliopo...
by tff admin | Nov 14, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Young Africans Yarejea Kileleni Ligi Kuu Bara Timu ya Young Africans imefanikiwa kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo uliochezwa Novemba13, 2022 katika dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza mnamo majira ya saa 10:00 jioni....