Azam, Simba Zatakata Ligi Kuu Bara

Azam, Simba Zatakata Ligi Kuu Bara

Azam, Simba Zatakata Ligi Kuu Bara Ligi Kuu ya NBC Bara imeendelea kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti; mchezo wa saa 10:00 jioni uliwakutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC huku ule wa pili ukiwa kati ya Ihefu FC  na Simba SC majira ya saa 1:00...
Ruvu Shooting, Prisons Hakuna Mbabe Uhuru

Ligi Kuu ya NBC Yazidi Kunoga

  Ligi Kuu ya NBC Yazidi Kunoga Michezo miwili ya Ligu Kuu Bara imepigwa Oktoba 31, 2022 na kumalizika kwa ushindi wa bao moja moja kwa kila timu iliyofanikiwa kupata matokeo. Mchezo wa kwanza ulichezwa majira ya (10:00 jioni), ukizikutanisha Ruvushooting FC...
Semina ya Waamuzi wa Fifa na Elite Yahitimishwa

Semina ya Waamuzi wa Fifa na Elite Yahitimishwa

Semina ya Waamuzi wa Fifa na Elite Yahitimishwa. Makamu wa pili wa Rais wa TFF Steven Mnguto amehitimisha rasmi semina ya siku tano ya waamuzi wa FIFA na Elite leo Julai 29, 2022 katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Semina hiyo yenye mjumuisho wa...
Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022

Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022

Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemmwagia sifa Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kwa kufanikisha kuipeleka Kombe la Dunia timu ya wasichana wenye umri...