by tff admin | Jul 13, 2022 | Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Warriors, Ligi Kuu Tanzania Bara, News, The Tanzanite, Twiga Stars, Women's Premier League
Rais Samia Aipongeza Serengeti Girls Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aimwagia pongezi timu ya wanawake wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Girs) kwa kufanikiwa kufuzu kwenda kushiriki michuano ya Kombe la...
by tff admin | Jun 24, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba Mambo Safi, Yaendeleza Ubabe Kwa Mkapa Ligi Kuu ya NBC imeendelea kwa mchezo mmoja kupigwa kwenye dimba la Mkapa ambapo timu ya Simba ilikuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa Juni 23, 2022 majira ya saa 1:00 usiku. Simba ilimaliza mchezo huo...
by tff admin | Jun 23, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mechi Mbili za Mwisho Kuamua Nani Kushuka Ligi Kuu NBC Bara! Michezo mitatu ya Ligi Kuu Tanzania Bara ilipigwa Juni 22,2023 kwenye viwanja tofauti tofauti huku ligi hiyo ikiwa bado ipo kwenye kitendawili cha timu ipi itakayoshuka daraja na ipi itakwenda kucheza mchezo...
by tff admin | Jun 20, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba SC Yaendelea Kuweka Heshima Kwa Mkapa Timu ya Simba SC imefanikiwa kulinda heshima yake baada ya kuifumua Mbeya City kwa jumla ya mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa Juni 16, 2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 usiku. Simba walikuwa wa moto...
by tff admin | Jun 20, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Yanga Yatwaa Ubingwa Ligi Kuu NBC Bila Kupoteza Mechi Timu ya soka ya Young Africans imeendelea kutoruhusu kupoteza mchezo wowote hadi imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022 baada ya kuukosa kwa msimu minne iliyopita. Young Africans imeutwaa ubingwa...
by tff admin | Jun 20, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mechi Nne Zalindima Jumamosi na Jumapili Kwenye Viwanja Tofauti Tofauti Ligi Kuu ya NBC imeendelea kutimua vumbi Jumamosi na Jumapili ambapo michezo kadhaa ya kuelekea kutamatisha ligi hiyo ilipigwa katika madimba tofautitofauti, huku baadhi ya timu zikiendeleza ubabe...