by tff admin | Jun 7, 2022 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia Timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Girls rasmi imeweza kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wao dhidi ya Cameroon Juni 05,...
by tff admin | Feb 15, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
TFF yawapiga msasa waamuzi. Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) linaendesha semina ya siku tatu kwa waamuzi wa ligi kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) pamoja na kamati ya waamuzi kuanzia leo februari 15, 2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ili kutazama na...
by tff admin | Dec 12, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba Young Africans Watunishiana Misuli kwa Mkapa Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, uliowakutanisha watani wa jadi Simba SC na Young Africans kwenye dimba la Benjamin William Mkapa majira ya saa 11:00 jioni umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu kwa kutoka...
by tff admin | Nov 23, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
TFF Yazidi Kupata Wadhamini wa Ligi Kuu Bara Ligi Kuu ya NBC Tanzania imezidi kupata neema baada ya kupatikana kwa mdhamini mwingine “GSM GROUP”aliyesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya fedha za Kitanzania kiasi cha shilingi Bilioni Mbili nukta moja...
by tff admin | Nov 22, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Dodoma Jiji na Biashara United Hakuna Mbabe Jamhuri Mchezo wa Novemba 21, 2021 uliowakutanisha Dodoma Jiji dhidi ya Biashara United kutoka Mara ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo uliopigwa majira ya saa moja usiku...
by tff admin | Nov 21, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Namungo Yaivuta Shati Young Africans Ilulu Lindi Mchezo kati ya Namungo FC na Young Africans umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao moja kwa moja huku Namungo wakimaliza dakika tisini (90) wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao Alpha Nyenye kuoneshwa...