by tff admin | Nov 19, 2021 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Amos Makala: Rais Karia Ameandika Historia Mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makala amesema Rais wa TFF Wallace Karia ameandika historia mpya kwa kutekeleza kikamilifu na kwa vitendo vipaumbele vyote alivyoviainisha wakati anaingia madarakani mwaka 2017....
by tff admin | Nov 1, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Young Africans Kiungo Kimekolea, Yatoa Dozi Nyingine kwa Azam FC Mchezo uliowakutanaisha Young Africans dhidi ya Azam FC ulimalizika kwa timu ya Young Africans kuichabanga Azam kwa mabao mawili kwa sifuri. Mchezo huo uliopigwa Oktoba 30, 2021 majira saa 1:00 usiku...
by tff admin | Oct 10, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Yatangaza Uchaguzi Mkuu Kamati ya Uchaguzi ya Shirikikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza rasmi kufanyika kwa uchauguzi wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) utakao fanyika Novemba 27 mwaka huu mkoani Kigoma. Tangazo kuhusu kufanyika...
by tff admin | Oct 7, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
NBC Yategua Kitendawili cha Udhamini Ligi Kuu Bara Kitendawili kilichokuwa miongoni mwa wadau wengi wa mpira wa miguu Tanzania kuhusu nani atakuwa mdhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (TPL) kimeteguliwa Octoba 6, 2021 ambapo Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetia...
by tff admin | Sep 30, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ligi Yarejea na Utamu Wake, Waliopanda Waonja Chungu Tamu ya Ligi Kuu Bara Namungo FC, Mbeya Kwanza, Dodoma Jiji na Mbeya City zimefanikiwa kuianza vyema Ligi Kuu Tanzania kwa kuanza na ushindi, huku Simba wao wakishindwa kutamba ugenini kwa Biashara United huko...
by tff admin | Jul 18, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Pazia la Ligi Kuu Bara Lafungwa Rasmi Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara (Vodacom Premier League) imefikia tamati ambapo michezo yote tisa imepigwa kwenye viwanja tofautitofauti nchini huku baadhi ya timu zikitoka na furaha kwa kusalia katika ligi hiyo wakati timu nne...