Simba Azam Hakuna Mbabe Chamazi

Simba Azam Hakuna Mbabe Chamazi

Simba Azam Hakuna Mbabe Chamazi Mechi tisa za ligi Kuu Bara zilizochezwa Julai 15, 2021 katika viwanja mbali mbali nchini imekuwa na chungu tamu kwa baadhi ya timu, huku timu nyingine zikiibuka na matokeo ya mabao lukuki na hivyo kufufua matumaini. Michezo hiyo...
Young Africans Vs Ruvu Shooting

Young Africans Vs Ruvu Shooting

 Young Africans, Ruvu Shooting Zatambina Kuelekea Mchezo Wao Kwa Mkapa Timu za  Young Africans na Ruvu Shooting zimetambiana kuelekea katika mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakao chezwa Juni 17, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Tambo...
Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Tanga May 08 2021, Katika eneo la mradi Donge, Tanga. Baada ya kumaliza zowezi la ukaguzi wa mradi ulioko kigamboni, Dar es Salaam May 07, 2021 wajumbe hao wamendelea na zoezi la ukaguzi katika...
Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) , Wallace Karia akiambatana na wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti hii leo May 7, 2021 kukagua mradi wa TFF ulioko Kigamboni, Dar es Salaam. Mradi wa Kigamboni ni moja kati ya miradi mikubwa inayo tekelezwa na...