RCL ni Moto Kilimanjaro

RCL ni Moto Kilimanjaro

RCL ni Moto Kilimanjaro Mashindano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL)ambayo kwa sasa yapo katika hatua za Fainali yamezidi kupamba moto huko Kilimanjaro kutokana na upinzani wa kila timu shiriki kwa namna ambavyo timu hizo zilivyo jiandaa kupambana kwa shauku ya...
Amos Makala: Rais Karia ameandika historia Mpya

Amos Makala: Rais Karia ameandika historia Mpya

Amos Makala: Rais Karia Ameandika Historia Mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makala amesema Rais wa TFF Wallace Karia ameandika historia mpya kwa kutekeleza kikamilifu na kwa vitendo vipaumbele vyote alivyoviainisha wakati anaingia madarakani mwaka 2017....
Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Tanga May 08 2021, Katika eneo la mradi Donge, Tanga. Baada ya kumaliza zowezi la ukaguzi wa mradi ulioko kigamboni, Dar es Salaam May 07, 2021 wajumbe hao wamendelea na zoezi la ukaguzi katika...
Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) , Wallace Karia akiambatana na wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti hii leo May 7, 2021 kukagua mradi wa TFF ulioko Kigamboni, Dar es Salaam. Mradi wa Kigamboni ni moja kati ya miradi mikubwa inayo tekelezwa na...