by tff admin | Apr 21, 2021 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Timu za Nyaishozi SC ya Kagera na Baga Friends ya Pwani zimekata tiketi ya kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) 2021 kutoka Kundi B. Nyaishozi na Baga Friends zimekata tiketi hiyo baada ya leo kukamilisha hatua ya makundi kwa kukutana kwenye mchezo...
by tff admin | Apr 20, 2021 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Ligi ya mabingwa wa mikoa (RCL) 2021 imeendelea kwa michezo miwili kuchezwa kwenye uwanja wa Ilulu, Lindi. Mchezo wa kwanza uliochezwa saa 8 mchana TMA Stars ya Arusha walicheza dhidi ya Copco Veterans ya Mwanza, mchezo ambao ulimalizika kwa TMA Stars kupata ushindi...
by tff admin | Apr 17, 2021 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Nyaishozi yaichapa Black Stars Timu ya Nyaishozi ya Kagera imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Black Stars ya Tabora katika mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa uliochezwa Uwanja wa Ilulu, Lindi. Mabao hayo yalipatikana katika dakika ya 10 na 64...
by tff admin | Apr 15, 2021 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
MAKUNDI FAINALI RCL YAPANGWA, KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO ILULU Droo ya kupanga makundi ya Fainali Ligi ya mabingwa wa Mikoa(RCL) 2021 imefanyika leo kwenye hoteli ya MM, Lindi. Timu nane zilizotinga katika fainali hizo zimepangwa katika makundi mawili yenye timu nne...
by tff admin | Sep 29, 2020 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi kampuni ya Group Six International eneo la ujenzi hii leo 29 Septemba, 2020...
by tff admin | Jul 17, 2020 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Kikao cha maandalizi ya Fainali za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa RCL kikiendelea katika ofisi za Chama cha Soka Mkoa wa Kigoma kikiongozwa na Mwenyekiti wa Mashindano TFF, Ahmed Mgoyi na Msimamizi wa Kituo cha Kigoma Issa Bukuku