by tff admin | Jun 1, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Bodi ya Ligi (TPLB) Yatoa Ratiba Rasmi ya Ligi Tanzania Bara Ratiba rasmi ya ligi mbalimbali imetangazwa leo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi Ndg. Almasi Jumapili Kasongo, ligi hizo ni pamoja na Ligi Kuu ‘Vodacom Premier League’ (VPL), ligi daraja la kwanza na ligi...
by tff admin | Mar 25, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, News, Women's Premier League
Bodi ya ligi yasimamisha ligi zote Tanzania Bara Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi Tanzania Bara, ndugu Almasi J. Kasongo kwa niaba ya makubaliano ya pamoja ya kikao cha bodi hiyo, amesema kuwa michezo na mashindano yote yanayosimamiwa na bodi hiyo ya ligi Tanzania...
by tff admin | Mar 5, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Machi 3, 2020 ilipitia taarifa mbalimbali za mechi ya Ligi Kuu Vodacom (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) zinazoendelea hivi sasa. LIGI KUU Mechi namba 247- Mtibwa Sugar FC 2...
by tff admin | Jan 10, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News, Women's Premier League
Upangaji wa ratiba ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa 4 umefanyika leo ikishirikisha timu 64. Droo hiyo ya upangaji ratiba imehusisha timu za Ligi Kuu ya Vodacom(VPL),Daraja la Kwanza(FDL),Daraja la Pili (SDL) na Bingwa wa mkoa. Ratiba...
by tff admin | May 18, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Fainali za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa RCL zinataraji kupigwa Kesho kwenye Uwanja wa Halmashauri Bariadi. Mchezo huo wa Fainali utazikutanisha timu za DTB FC na Pan Africans zote za Dar es Salaam. Pan Africans wameingia hatua hiyo ya Fainali baada ya kuishinda Isanga...
by tff admin | May 17, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Fainali za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa RCL,leo imepigwa nusu fainali kwenye Uwanja wa Halmashauri Bariadi, Isanga Rangers FC ya Mbeya ikipogea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Pan African FC ya Dar es Salaam na nusu fainali ya pili ikishuhudia DTB FC ya Dar es Salaam...