by tff admin | May 14, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Mechi za mwisho za kundi A Fainali za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) zimepigwa leo kwenye Viwanja tofauti katika muda mmoja. Uwanja wa Halmashauri Bariadi kulikuwa na mchezo kati ya timu ya Bariadi United FC ya Simiyu ambayo imetoka sare ya kufungana mabao 2-2 na DTB...
by tff admin | May 13, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Katika mwendelezo wa michezo ya Fainali za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) inayoendela mkoani Simiyu, leo wakazi wa Bariadi wameshuhudi michezo miwili katika uwanja wa Halmashauri Bariadi, kati ya timu ya Mkurugenzi FC ya Katavi ikishinda bao 1-0 dhidi ya timu kongwe...
by tff admin | May 12, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Fainali za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) inayoendela mkoani Simiyu,katika uwanja wa Halmashauri Bariadi imeshuhudia DTB FC ya Dar es Salaam ikipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Top Boys FC ya Ruvuma. Gabriel Ndimbo alianza kuiandikia bao la kuongoza Top Boys katika...
by tff admin | May 12, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Timu ya Mji Mpwapwa FC ya Dodoma imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi Mkurungenzi FC ya Katavi, katika mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa inayoendelea Bariadi,Simiyu Mchezo huo umechezwa saa 2 asubuhi, kutokana na kushindwa kuchezwa jana kwenye Uwanja wa...
by tff admin | May 11, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Timu za Pan African FC ya Dar es Salaam na Mbuni FC ya Arusha zimetoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa inayoendelea Bariadi,Simiyu Mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Halmashauri Bariadi, ulianza saa 10 jioni. Ayoub Ayoub...
by tff admin | May 9, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) inatarajia kuanza Kesho Mei 10,2019 Bariadi,Simiyu. Timu Nane kutoka katika Vituo 4 vya Simiyu,Katavi,Songwe na Dodoma zitashiriki katika fainali hizo. Timu hizo zimetokana na Makundi 4 yaliyotoa timu 2 kila Kundi kutengeneza...