by admin | Mar 11, 2019 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL)
Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) itachezwa katika vituo vinne katika Mikoa ya Tanzania Bara, ikianza Machi 27, 2019 na kumalizika April 11, 2019 katika hatua ya Makundi. Timu mbili (2) za juu kutoka katika kila kundi zitafuzu kucheza hatua ya Nane (8) Bora katika kituo...
by admin | May 12, 2018 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limewaondoa Waamuzi wawili kwenye orodha ya Waamuzi wa Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) inayoendelea kwenye vituo vinne vya Geita,Singida,Rukwa na Kilimanjaro. Waamuzi walioondolewa katika orodha hiyo ni Seleman Nonga kutoka...
by admin | Apr 5, 2018 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL)
Timu 28 zinatarajia kushiriki Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL))msimu wa 2017/18 inayotarajia kuanza Mei 1,2018 mpaka Mei 16,2018 kwenye vituo vinne. Vituo vitakavyotumika ni Geita, Singida, Rukwa na Kilimanjaro. Makundi ya RCL yatakuwa na timu saba kila kundi yakipangwa...