BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa tuzo kwa wanamichezo Bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lengo la tuzo hizo ni kutambua na kuthamini mchango wa wanamichezo wanaofanya...
Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022

Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022

Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemmwagia sifa Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kwa kufanikisha kuipeleka Kombe la Dunia timu ya wasichana wenye umri...
Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia

Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia

Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia Timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya  miaka 17 Serengeti Girls rasmi imeweza kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wao dhidi ya Cameroon Juni 05,...