Fainali COPA Dar es Salaam

Fainali COPA Dar es Salaam

Leo ni siku ya fainali ya michuano ya COPA DAR ES SALAAM iliyoanza Disemba 22 ambapo timu kutoka nchi 5 (Burundi, Malawi, Seychelles, Tanzania na Uganda) zimekuwa zikimenyana vikali katika viwanja vya COCO BEACH Oystabey  Kinondoni jijini Dar es Salaam. Michuano hiyo...