Kozi ya Diploma B CAF kufanyika Machi

Kozi ya Diploma B CAF kufanyika Machi

Kozi ya Ukocha Diploma B CAF inatarajia kufanyika Dar es salaam Machi 4-Aprili 10,2020. Ada ya ushiriki ni shilingi 800,000. Anayehitaji kushiriki katika Kozi hiyo awasiliane na Mkurugenzi wa Ufundi TFF Oscar Mirambo mapema. Tayari kumefanyika Kozi mbalimbali za...
TFF yawaondoa Waamuzi Watatu kuchezesha Ligi Kuu

TFF yawaondoa Waamuzi Watatu kuchezesha Ligi Kuu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaondoa kwenye orodha ya Waamuzi wa msimu huu Waamuzi Abdallah Kambuzi,Godfrey Msakila na Consolata Lazaro. Waamuzi hao waliochezesha mchezo kati ya KMC na Simba uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba Aprili 25,2019...
Jonesia aweka rekodi AFCON U17

Jonesia aweka rekodi AFCON U17

Muamuzi wa Tanzania Jonesia Rukyaa ameingia kwenye rekodi ya kuwa Muamuzi wa kwanza wa Kike kuchezesha katika mashindano ya Afcon ya Wanaume baada ya kuchezesha mchezo uliochezwa Jumapili Aprili 21,2019 Chamazi ukiikutanisha Cameroon dhidi ya Senegal Afcon U17. Rukyaa...
Semina ya Kuwajengea Uwezo Waamuzi wa Wanawake Yafungwa

Semina ya Kuwajengea Uwezo Waamuzi wa Wanawake Yafungwa

Semina ya kuwajengea uwezo waamuzi wa Wanawake imefungwa leo Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya TFF ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF na Katibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Kagera Saloum Chama...