by admin | Jan 2, 2019 | Referees
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limetuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA. Katika orodha hiyo wapo waamuzi wa katikati na Waamuzi wasaidizi wa Kiume na wa Kike. Aidha wapo pia waamuzi watakaochezesha...
by admin | Dec 13, 2018 | Referees
Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa CAF limewateua waamuzi kutoka Tanzania kuchezesha mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Nasr Athletic ya Algeria dhidi ya Green Eagles ya Zambia utakaochezwa Disemba 21, 2018. Katika mchezo huo Mfaume Ali Nassoro atakuwa mwamuzi wa...
by admin | Aug 20, 2018 | Referees
Waamuzi 82 wameteuliwa kuchezesha Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2018/2019. Katika orodha hiyo wapo waamuzi wa katikati 30,Waamuzi wasaidizi 46 na Waamuzi 6 wa akiba. Waamuzi hao ndio watakaokuwa na jukumu la kucheza mechi zote za Ligi Kuu katika msimu husika....