by tff admin | May 2, 2019 | News, Serengeti Boys
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za Kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP na Mlezi wa Timu ya Taifa ya Vijana U17 “Serengeti Boys” Dkt.Reginald Mengi aliyefariki usiku wa...
by tff admin | Apr 16, 2019 | News, Serengeti Boys
Timu ya Taifa ya Vijana U17 “Serengeti Boys kesho Jumatano inashuka dimbani kutupa karata yake nyingine dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa Total Afcon utakaochezwa Uwanja wa Taifa. Mchezo huo utakaoanza saa 11 jioni ni wa pili kwa Serengeti Boys katika mashindano hayo....
by tff admin | Apr 14, 2019 | News, Serengeti Boys
TIMU ya taifa ya Tanzania chini miaka 17 ‘Serengeti Boys’, imepoteza mchezo wake wa kwanza wa makundi wa Total Afcon 2019 U17 dhidi ya Nigeria. Katika mchezo huo Serengeti Boys wamepoteza kwa kufungwa mabao 4-5, licha ya kupambana vya kutosha ndani ya...
by tff admin | Mar 28, 2019 | News, Serengeti Boys, Tanzania Bara U20
Timu ya Taifa ya Vijana U17 “Serengeti Boys na Timu ya Taifa ya Vijana U20 “Ngorongoro Heroes” zimeondoka kuelekea Rwanda na Eritrea. Serengeti Boys wapo nchini Rwanda na Kikosi cha Wachezaji 23 na viongozi 8 kushiriki mashindano maalumu ya maandalizi ya Afcon ya...
by admin | Feb 25, 2019 | Serengeti Boys
ARUSHA fans were thrilled by the National Soccer U-17 Team ‘Serengeti Boys’ who displayed fantastic football as they drew 1-1 with Arusha United in a friendly encounter at Sheikh Amri Abeid Stadium here at the weekend. Many fans expressed satisfaction that...