Serengeti Boys Kambini Arusha

Serengeti Boys Kambini Arusha

Timu ya Taifa ya Vijana U17 “Serengeti Boys” imepiga Kambi Jijini Arusha kujiandaa na Fainali za Afrika za Vijana U17 zitakazofanyika Tanzania mwezi Aprili. Serengeti Boys inaendelea na maandalizi katika Uwanja wa Aghakhan mazoezi yakifanyika asubuhi na jioni. Itarudi...