by tff admin | Oct 17, 2019 | News, Taifa Stars
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ana matumaini makubwa kwa timu ya Taifa “Taifa Stars” kufanya vizuri katika mchezo wa marudiano CHAN dhidi ya Sudan utakaochezwa Kesho Ijumaa Oktoba 18,2019 El Merriekh,Omdurman. Rais Karia amesema...
by tff admin | Oct 15, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya Taifa “Taifa Stars” imetoka sare 0-0 na Rwanda katika mchezo wa Kirafiki uliochezwa kwenye tarehe za Kalenda ya FIFA. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Kigali nchini Rwanda Kocha Ndairagije Ettiene ameutumia kama sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa...
by tff admin | Oct 11, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya Taifa “Taifa Stars” inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti imetua Kigali,Rwanda tayari kuikabli Rwanda “Amavubi” kwenye mchezo wa Kirafiki Jumatatu Oktoba 14 Uwanja wa Kigali. Mchezo huo ambao unachezwa kwenye tarehe za Kalenda ya FIFA unatumika kama sehemu ya...
by tff admin | Oct 7, 2019 | News, Taifa Stars
Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” leo kimeanza rasmi kambi kwenye Hoteli ya Saphire. Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti inajiandaa kwa mchezo wa Kirafiki utakaochezwa kwenye tarehe za Kalenda ya FIFA dhidi ya Rwanda Oktoba 14,2019. Mchezo huo dhidi ya...
by tff admin | Oct 4, 2019 | News, Taifa Stars
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti Ndairagije Ettiene amempumzisha Nahodha Mbwana Samatta kutoka katika Kikosi alichokitaja kitakachojiandaa na mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sudan. Ndairagije amesema amewasiliana na Samatta ambaye ameomba...
by tff admin | Oct 3, 2019 | News, Taifa Stars
Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Ettiene Ndairagije ametaja Wachezaji 28 wanaoingia Kambini kujiandaa na mchezo wa Kirafiki dhidi ya Rwanda utakaochezwa Kigali,Rwanda Oktoba 14,2019 Kikosi kilichotajwa : Juma Kaseja -KMC Metacha Mnata -Young Africans...