by tff admin | Oct 3, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya Taifa “Taifa Stars” itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda Oktoba 14,2019 Kigali,Rwanda. Mchezo huo utakaochezwa Uwanja wa Kigali utakua kwenye tarehe za Kalenda ya FIFA. Shirikisho la Soka la Rwanda na TFF zimefikia makubaliano yote muhimu ya mchezo huo....
by tff admin | Sep 16, 2019 | News, Taifa Stars
Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Ettiene Ndairagije ametaja Wachezaji 25 wanaoingia Kambini kujiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Sudan utakaochezwa wiki hii. Kikosi kilichotajwa : Juma Kaseja -KMC Metacha Mnata -Young Africans Said Kipao-Kagera Haruna...
by tff admin | Sep 15, 2019 | News, Taifa Stars
Kocha wa zamani wa timu ya Taifa Taifa Stars Rudi Gutendorf amefariki leo akiwa na miaka 93. Katika uhai wake,Gutendorf aliwahi kukinoa kikosi cha Taifa Stars ambapo moja ya mafanikio ni kukiwezesha kikosi hicho kufika hatua ya Fainali Kombe la Challenge mwaka 1981....
by tff admin | Sep 12, 2019 | News, Taifa Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia mkataba wa miaka 4 na Kampuni ya Azam Media kuonesha mechi za timu ya Taifa “Taifa Stars” inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti. Mkataba huo una thamani ya shilingi milioni 100 kwa mwaka ambao umegawanywa kwa shilingi...
by tff admin | Sep 8, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Starts” imetinga hatua ya makundi ya michezo ya kusaka tiketi ya kufuzu kucheza kombe la dunia 2022 Qatar baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 3-0 dhidi ya Burundi. Dakika 90 za mpambano huo zilimalizika kwa sare ya bao 1-1 na...
by tff admin | Sep 3, 2019 | Taifa Stars
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeondoka kuelekea Burundi kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar Taifa Stars imeondoka na jumla ya wachezaji 23 kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATC. Simon Msuva...