by tff admin | Aug 23, 2019 | News, Taifa Stars
Kaimu Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Ndairagije Etienne ametaja Kikosi cha Wachezaji 27 watakaoingia Kambini kujiandaa na mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza Kombe la Dunia dhidi ya Burundi. Mchezo wa Kwanza wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya...
by tff admin | Aug 1, 2019 | News, Taifa Stars
Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Etienne Ndayiragije amefanya mabadiliko madogo katika kikosi kutokana na baadhi ya wachezaji kuwa majeruhi. Wachezaji walioondolewa katika kikosi kwasababu ya kuwa majeruhi ni David Mwantika,Aishi Manula na...
by tff admin | Jul 28, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imeanza kutupa karata yake ya kwanza ya kuitafuta tiketi ya kufuzu CHAN wakitoka suluhu 0-0 na Kenya kwenye Uwanja wa Taifa. Taifa Stars inayodhaminiwa na Serengeti Lager ilianza mchezo huo kwa nguvu kutafuta goli hata hivyo...
by tff admin | Jul 25, 2019 | News, Taifa Stars
Waamuzi wa mchezo wa kutafuta tiketi ya Fainali za CHAN kati ya Tanzania na Kenya utakaochezwa Jumapili Julai 28,2019 Uwanja wa Taifa wanatarajia kuwasili Kesho Ijumaa. Waamuzi wa mchezo huo wanatoka nchini Burundi, Mwamuzi wa Katikati atakua Thiery Nkurunziza...
by tff admin | Jul 23, 2019 | News, Taifa Stars
KIKOSI cha timu ya Taifa Tanzania kimeendelea na mazoezi yake katika uwanja wa Boko Veteran, jijini Dar es Salaam. Leo ni siku ya pili mfululizo kwa kikosi hiki kufanya mazoezi tangu kitangazwe kwaajili ya mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Kenya utakaopigwa Julai 28...
by tff admin | Jul 23, 2019 | News, Taifa Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetaja kiingilio cha mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu CHAN kati ya Tanzania na Kenya utakaochezwa Uwanja wa Taifa Julai 28,2019. Mchezo huo utakaoanza saa 10 jioni Kiingilio cha chini kitakua shilingi 3000 Jukwaa la...