by tff admin | Jul 21, 2019 | News, Taifa Stars
Wachezaji walioitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kujiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya wameanza kuripoti Kambini leo. Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti itapiga Kambi yake kwenye Hoteli ya APC Iliyopo Mbweni,Dar es Salaam....
by tff admin | Jul 15, 2019 | News, Taifa Stars
Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Etiene Ndairagije ametaja kikosi cha Wachezaji 26 kitakachojiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya. Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti itaingia Kambini Julai 21,2019 Dar es Salaam. Wachezaji...
by tff admin | Jul 8, 2019 | News, Taifa Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike tumefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yetu. TFF itatangaza Kocha wa muda atakaekiongoza Kikosi cha Timu ya Taifa kwa mechi za CHAN. Makocha wa muda...
by tff admin | Jun 30, 2019 | News, Taifa Stars
Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars Emmanuel Amuneke, ana matumaini kuwa bado timu yake ina nafasi ya kufanya vizuri katika mchezo wa tatu wa mashindano ya Mataifa Afrika dhidi ya Algeria,utakaofanyika Julai 1,katika Uwanja wa Al- Salam nchini Misri. Akizungumza na...
by tff admin | Jun 30, 2019 | News, Taifa Stars
Kiungo mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa,Taifa stars,Simon Msuva,amesema wanaimani kubwa ya kupata pointi tatu katika mchezo wa mwisho wa AFCON dhidi ya Algeria,utakaofanyika,Julai 1 katika Uwanja wa Al- Salam,Misri. Msuva ,alisema kwamba wapo vizuri na wachezaji...
by tff admin | Jun 25, 2019 | News, Taifa Stars
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars Emmanuel Amunike,anamatumaini ya kufanya vizuri katika mchezo wa pili wa mashindano ya Mataifa Afrika (AFCON) dhidi ya Kenya,katika mchezo utakaofanyika Juni 27,katika Uwanja wa 30 Juni,Misri. Akizungumza na...