Taifa Stars mzigoni tena leo

Taifa Stars mzigoni tena leo

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo inashuka dimbani kucheza mchezo wa pili wa Kirafiki dhidi ya Zimbabwe. Mchezo huo utakaochezwa saa 2 Usiku kwenye Uwanja wa El Sekka El Hadid,Cairo ni sehemu ya maandalizi ya Taifa Stars kuelekea kwenye mashindano ya AFCON...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars Paul Makonda akizindua jezi itakayotumiwa na Timu za Taifa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars Paul Makonda akizindua jezi itakayotumiwa na Timu za Taifa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limezindua jezi mpya ya timu za Taifa zitakazotumika nyumbani na ugenini. Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars Paul Makonda. Jezi...
Benchi la Taifa Stars laongezwa nguvu

Benchi la Taifa Stars laongezwa nguvu

Benchi la Ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” limeongezewa nguvu kuelekea mashindano ya AFCON yatakayoanza Juni 21,2019 nchini Misri. Walioongezwa kwenye benchi la Ufundi ni Abdelrahman Essa ambae ni Kocha wa viungo na Ali Taha mtaalamu mwenye ubobevu...
Taifa Stars yaanza kujifua Misri

Taifa Stars yaanza kujifua Misri

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo imefanya mazoezi yake ya kwanza ikiwa kwenye Kambi ya Misri Taifa Stars imefanya mazoezi jioni kwenye Uwanja wa Movenpick Wachezaji 32 wapo kwenye Kambi huko Misri ambapo watachujwa na kubaki wachezaji 23 kwaajili ya...