by tff admin | Jun 2, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo imeanza mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa,kujiandaa na mashindano ya AFCON yatakayofanyika nchini Misri. Kikosi hicho kimefanya mazoezi asubuhi wakati kuanzia kesho mazoezi yatafanyika mara mbili kwa siku asubuhi na jioni....
by tff admin | May 31, 2019 | Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, News, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kampuni ya Romario Sports 2010 LTD wamesaini Mkataba wa miaka mitatu kuzivalisha Timu zote za Taifa. Kampuni ya Romario itakuwa inazivalisha Timu zote za Taifa kwa kipindi chote cha Mkataba huo. Rais wa TFF Wallace Karia...
by tff admin | May 29, 2019 | News, Taifa Stars
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ameishukuru Kampuni ya Motisun Group kwa kusaidia Kambi ya ndani ya Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars”. Akizungumzia msaada huo wa Kambi ya ndani Rais Karia wa TFF amesema ni jambo kubwa limefanywa...
by tff admin | Apr 25, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” itacheza mchezo wa kirafiki wa Kimataifa na Timu ya Taifa ya Misri Juni 13,2019 Bourg Al Arab,Misri kujiandaa na Fainali za Afrika(Afcon2019) Mwezi Mei Kocha Mkuu Emmanuel Amunike atataja kikosi kitakachokwenda katika fainali...
by admin | Mar 8, 2019 | Taifa Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti inakabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Uganda wa kufuzu kucheza Fainali za Afrika mwaka huu. Huu ni mchezo ambao kama Taifa Stars itashinda inaweza kukata tiketi ya kucheza AFCON mwaka huu...
by admin | Mar 7, 2019 | Taifa Stars
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Emmanuel Amunike Kesho Ijumaa Machi 8,2019 anatarajia kutaja Kikosi kitakachocheza mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwaka huu dhidi ya Uganda. Mkutano huo unatarajia kufanyika Makao Makuu ya...