Taifa Stars yaendelea kujifua South

Taifa Stars yaendelea kujifua South

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inaendelea na maandalizi yake ya mchezo wa kuitafuta tiketi ya kufuzu Afcon 2019 dhidi ya Lesotho utakaochezwa Novemba 18,2018 Maseru,Lesotho. Katika mazoezi hayo golikipa Beno Kakolanya na mshambuliaji Yahya Zayd walipumzishwa...
Taifa Stars yaingia Kambini Afrika Kusini

Taifa Stars yaingia Kambini Afrika Kusini

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imeondoka leo alfajiri kuelekea nchini Afrika Kusini kuweka Kambi kujiandaa na mchezo wake wa kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon 2019 dhidi ya Lesotho. Kambi hiyo ya siku 10 itakuwa katika Mji wa Bloemfontein kabla ya kikosi hicho...