Stars tayari kwa Mchezo wa Marudiano

Stars tayari kwa Mchezo wa Marudiano

Stars tayari kwa Mchezo wa Marudiano Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ipo tayari kukipiga kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Somalia, baada ya kuanza kwa ushindi kwenye mchezo wa awali uliochezwa Julai 23, 2022 kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Stars inatarajia...
Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022

Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022

Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India  Oktoba, 2022 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemmwagia sifa Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kwa kufanikisha kuipeleka Kombe la Dunia timu ya wasichana wenye umri...
Tanzania Bado Inanafasi ya Kufanya Vizuri AFCON

Tanzania Bado Inanafasi ya Kufanya Vizuri AFCON

Kim; Tanzania Bado Inanafasi ya Kufanya Vizuri AFCON Kocha Mkuu wa kikosi cha “Taifa Stars” Kim Poulsen amesema kuwa Tanzania bado inanafasi ya kufanya vyema katika kusaka tiketi ya kufuzu kushiriki AFCON mwaka 2023. Hayo aliyasema Juni 8, 2022 mara baada ya timu hiyo...
Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia

Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia

Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia Timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya  miaka 17 Serengeti Girls rasmi imeweza kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wao dhidi ya Cameroon Juni 05,...
Taifa Stars Sudan Yatoshana nguvu

Taifa Stars Sudan Yatoshana nguvu

Taifa Stars Sudan Ngoma Ngumu Mchezo wa kirafika wa Kimataifa uliopigwa kwa Mkapa, Machi 29, 2022 uliwakutanisha Taifa Stars dhidi ya Sudan na kumalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja. Mchezo huo uliopigwa majira ya saa 1:00...
Taifa Stars Kuvaana na Sudan kwa Mkapa

Taifa Stars Kuvaana na Sudan kwa Mkapa

Taifa Stars Kuvaana na Sudan kwa Mkapa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajia kushuka dimbani hapo kesho (Machi 29, 2022) kuikabili timu ya Taifa ya Sudan kwenye mchezo utakao pigwa majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es...