by tff admin | Oct 8, 2021 | News, Taifa Stars
Stars Bado Inanafasi Kufuzu Hatua Inayofuata Kocha Mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Kim Poulsen amesema kuwa Stars bado inanafasi ya kupambana kuhakikisha inafuzu hatua ya makundi na kusonga kwenye hatua nyingine inayofuata katika mashindano...
by tff admin | Oct 7, 2021 | News, Taifa Stars
Stars “Tuko Tayari Kuitetea Bendera Ya Taifa Kocaha Mkuu wa kikosi cha Taifa “Taifa Stars” Kim Poulsen amesema kuwa wachezaji wake wako tayari kuendelea kuipeperusha vyema Bendera ya Tiafa la Tanzania kwa kujituma kwa hali na mali kuhakikisha wanaibuka na ushindi...
by tff admin | Sep 8, 2021 | News, Taifa Stars
Taifa Stars Yawa Moto Yaichapa Madagascar Kwa Mkapa Timu ya Taifa Taifa Stars imefanikiwa kupata ushindi wa bao 3-2 kwa moja katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam na kujiwekea mazingira mazuri ya kukaa nafasi ya pili katika kundi...
by tff admin | Sep 1, 2021 | News, Taifa Stars
Samatta Arejea Tena Kukipiga Ulaya Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Mbwana Ally Samatta amerejea nchini Ubelgiji alipokuwa akicheza katika timu ya GENK kwa ajili ya kujiunga na moja kati ya timu zinazoshiriki ligi kuu baada ya klabu yake ya...
by tff admin | Aug 19, 2021 | Coaching, News, Taifa Stars
Stars Mguu Sawa Kuelekea Kombe la Dunia Qutar 2022 Kocha wa timu ya Taifa Tanzania, ‘Taifa Stars’ Kim Poulsen atangaza kikos kitakacho vaana na DR Congo Septemba 2, mwaka huu huko nchini Congo kabla ya kurudiana mnamo tarehe 7 mwezi huo huo. Kikosi hicho cha Stars...
by tff admin | Jun 13, 2021 | News, Taifa Stars
Stars Yainyong’onyeza Malawi Kwa Mkapa Mchezo wa kirafiki kati ya Taifa Stars na Malawi (Miale ya Moto) umemalizika kwa timu ya taifa ya Tanzania kuibuka na ushindi wa bao mbili kwa sifuri. Mchezo huo uliopigwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa...