Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Tanga May 08 2021, Katika eneo la mradi Donge, Tanga. Baada ya kumaliza zowezi la ukaguzi wa mradi ulioko kigamboni, Dar es Salaam May 07, 2021 wajumbe hao wamendelea na zoezi la ukaguzi katika...
Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) , Wallace Karia akiambatana na wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti hii leo May 7, 2021 kukagua mradi wa TFF ulioko Kigamboni, Dar es Salaam. Mradi wa Kigamboni ni moja kati ya miradi mikubwa inayo tekelezwa na...
STARS YAPAA KUIFUATA EQUATORIAL GUINEA

STARS YAPAA KUIFUATA EQUATORIAL GUINEA

STARS YAPAA KUIFUATA EQUATORIAL GUINEA Kikosi cha Wachezaji 30 wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” kimeondoka jijini Nairobi, Kenya kwenda Malabo, Equatorial Guinea kwa ajili ya mechi ya mchujo ya AFCON dhidi ya wenyeji itakayofanyika Alhamisi, Machi 25 mwaka huu. Taifa...
STARS YAPAA KUIFUATA EQUATORIAL GUINEA

Stars Ipo Tayari Kuikabili Harambee

Kikosi Stars Kipo Tayari Kuikabili Harambee Stars ya Kenya Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Taifa wa Kenya kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wake wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Harambee Stars ya Kenya hapo tarehe...