Lengo ni Moja tu Kufuzu AFCON

Lengo ni Moja tu Kufuzu AFCON

Kim Poulsen: Lengo ni Moja tu Kufuzu AFCON Timu ya taifa ya Tanzania“Taifa stars iliyopiga kambi yake katika hoteli ya Tiffany jijini Dar es Salaam kuanzia Machi 7, 2021 imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kujiandaa na  michezo ya kufuzu AFCON...
Kikosi Kipya cha Taifa Stars Chatangazwa

Kikosi Kipya cha Taifa Stars Chatangazwa

Kim Poulsen Atangaza Kikosi Kipya cha Taifa Stars Kocha mkuu wa timu ya Taifa “Taifa Stars” Kim Poulsen leo hii  Februari 26, 2021 amekitangaza kikosi kitakachoingia kambini tayari kujiandaa na michezo miwili ya kirafiki huko Kenya pamoja na michezo ya kufuzu AFCON...
Taifa Stars Kuvaana na Tunisia Ijumaa Hii

Taifa Stars Kuvaana na Tunisia Ijumaa Hii

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeondoka rasmi leo tarehe 11 Novemba, 2020 ikitokea Uturuki ilipokuwa imepiga kambi na kuelekea nchini Tunisia kwa ajili ya mchezo wake dhidi ya  timu Tunisia, mchezo  unaotarajiwa kuchezwa siku ya Ijumaa ya tarehe 14 Novemba...