Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi kampuni ya Group Six International eneo la ujenzi hii leo 29 Septemba, 2020...
TFF yampa mkono Samatta Aston Villa

TFF yampa mkono Samatta Aston Villa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linamtakia kila la heri Nahodha wa timu ya Taifa “Taifa Stars” Mbwana Samatta katika timu yake mpya ya Aston Villa ya Uingereza. TFF inaamini Samatta anaendelea kufungua milango kwa Wachezaji wa Tanzania katika mpira wa...
Taifa Stars yatua Tunisia na Wanajeshi 22

Taifa Stars yatua Tunisia na Wanajeshi 22

Timu ya Taifa Taifa Stars imetua nchini Tunisia kwa mchezo wa pili wa Kundi J dhidi ya Libya utakaochezwa Jumanne Novemba 19. Taifa Stars imetua na Kikosi cha Wachezaji 22 tayari kwa mchezo huo utakaochezwa mji wa Monastir kilomita zaidi ya 200 kutoka Tunis. Baada ya...
Mkude aondoka Kambi ya Taifa Stars

Mkude aondoka Kambi ya Taifa Stars

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije amempa ruhusa Kiungo Jonas Mkude kuondoka kwenye Kambi ya Kikosi hicho kwenda kushughulikia masuala yake ya kifamilia. Mkude alitoa taarifa kwa Kocha Ndairagije kuomba ruhusa ya kutojiunga Kambini ili kushughulikia masuala...
TFF yampa mkono Samatta Aston Villa

Samatta,Msuva Kambini Taifa Stars

Nahodha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Mbwana Samatta anatarajia kutua usiku kujiunga na Kambi ya Kikosi hicho iliyoanza Jumamosi kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON 2021 dhidi ya Equatorial Guinea Ijumaa Novemba 15 Uwanja wa Taifa. Samatta anayecheza KRC Genk ya...